Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra), imewataka wamiliki wa magari ya mizigo nchini kuajiri madereva wenye elimu, ujuzi na weledi wa masuala ya usafirishaji watakaozingatia sheria na kanuni za usalama barabarani ili kupunguza ajali za kizembe.
Rai hiyo ilitolewa juzi na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Sumatra, Dk John Ndunguru alipokutana na wadau wa usafirishaji mkoani hapa.
“Dereva aliyesomea na kufuzi mafunzo atazingatia sheria na kanuni za usalama barabarani na hivyo kuepusha ajali zinazoangamiza maisha ya watu wasio na ha

Loading...
ia,” alisema Nduguru.
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Mwanza, Mkadam Mkadam alisema elimu kwa umma inayotolewa na wadau imesaidia kupunguza matukio ya ajali za barabarani mkoani hapa kutokana na madereva na watumiaji wa barabara kuzingatia sheria na kanuni.
Mwenyekiti wa Umoja wa Waendesha Bodaboda Mkoa wa Mwanza, Gerald Nyerembe alitumia kikao hicho kuwasilisha kilio cha wanachama wake cha kudharauliwa na kutopewa fursa sawa ya kutumia barabara na madereva mabasi na malori.
Na Paskali Joseph.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

SUMATRA YAWATAKA WAMILIKI WA MAGARI KUAJIRI MADEREVA WALIOSOMA
Reviewed by By News Reporter
on
5/21/2018 09:21:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: