Loading...
Oliver Wendell Holmes anasema "Kitu kikubwa na muhimu katika dunia hii si tulipo kwa sasa bali ni uelekeo gani tunaenda". Maneno haya ni msisitizo juu ya umuhimu wa kuwa na ndoto katika maisha yako.
Kwa lugha nyingine, jambo la muhimu sana katika maisha yako si ulipo kwa sasa bali ni uelekeo gani ndoto yako inakupeleka. Kilicho mbele yako ni muhimu zaidi ya yale yaliyokwisha kutokea.
Una uwezo wa kufanikisha ndoto yako bila kujali uko wapi na katika hali gani kwa sasa. Jaribu kuwa na uthubutu wa kuwa na ndoto yako ya maisha na anza kufanyia kazi ndoto hiyo. Fanyia kazi ndoto yako pamoja na uwepo wa matatizo, changamoto na vikwazo mbalimbali.
Historia imejaa watu waliokutana na magumu mengi lakini bado wakafanikiwa.
You Deserve The Best!
Vicent Stephen
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

UNA UWEZO WA KUFANIKISHA NDOTO ZAKO BILA KUJALI UKO WAPI
Reviewed by By News Reporter
on
6/07/2018 01:52:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: