Loading...

WOLPER AMWITA HARMONIZE TAPELI SUGU

Loading...
Mwanadada Wolper ameamua kumlipua harmonize na kumwita tapeli baada ya harmonize kutangaza katika vyombo vyahabari kuwa kutakuwa na show yake mbagala na katika show hiyoa atakaekuwa aki-host ni hjackline wolper.

Harmonize alitoa taarifa hiyo na kusema kuwa hana bifu na Jacky na kuwa wameamua kuanzia sasa kufanya kazi pamoja ili kuondoka kuwagawa mashabaki. lakini baada ya tangazo hilo la Harmonize, uongozi wa Jacky ulikanusha taarifa hizo na pia Jacky mwenye anmesemakuwa hayupo kabisa tanzania na kwamba wanaofanya na kutangaza hayo ni matapeli sugu.

"TANGAZO TANGAZO , NAOMBENI MTAMBU KUWA SIPO TANZANIA NA WALA SITAKUWEPO KABISA KATIKA SHOW  YOYOTE, IWE YA MBAGALA AU YA POSTA , MIMI KAMA WOLPER SIHUSIKI…YOTE WANAYOYASEMA NI UONGO NA WALA SIHUSIKI..SITAKI WATU WATUMIE JINA LANGU KUVUTA WATU, EPUKANA NA MATAPELI ..ASANTE SANA…#EPUKAMATAPELISUGU #ACHENIKUTUMIAJINALANGUKWANGUGU #SIPOTANZANIANASIRUDIMPAKAJULY."
Na Neema Joshua.




Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
WOLPER AMWITA HARMONIZE TAPELI SUGU WOLPER AMWITA HARMONIZE TAPELI SUGU Reviewed by By News Reporter on 6/07/2018 10:46:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.