Loading...

FURAHA ILIYOJE BAADA YA WAZAZI KUKUTANISHWA NA WATOTO WAKIMBIZI

Loading...
WAKATI wazazi kadhaa wakimbizi, wengi wao kutoka Mexico wakiunganishwa na watoto wao waliotenganishwa nao kwenye mpaka wa Marekani na Mexico miezi kadhaa iliyopita kutokana na sera za Rais Trump wa Marekani, wengi wao wanasubiri kuwaona watoto wao.

Watoto kadhaa jana (Jumanne) waliungana na wazazi wao kwa chereko huko Michigan.

Hilo limetokea baada ya Idara ya Uhamiaji kusema wakimbizi hao watakuwa huru wakati matatizo yao yakishughulikiwa na mahakama ya uhamiaji.
Na Hamisi Fakhi.




Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
FURAHA ILIYOJE BAADA YA WAZAZI KUKUTANISHWA NA WATOTO WAKIMBIZI FURAHA ILIYOJE BAADA YA WAZAZI KUKUTANISHWA NA WATOTO WAKIMBIZI Reviewed by By News Reporter on 7/11/2018 01:31:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.