Loading...
Sosholaiti ambaye pia ni mfanyabiashara Vera Sidika ni kati ya wanadada ambao wamejipatia umaarufu kutokana na urembo wao wa kuigwa.
Wengi wamekuwa wakimiminika katika ukurasa wake maarufu wa Instagram ili kujiburudisha kwa picha zake za kunata.
Tofauti na baadhi ya sosholaiti wenzake nchini Kenya, Vera amekuwa akiwapa mashabiki wake picha za kuamsha hisia.
Akiwa likizoni nchini Mauritious na mpenziwe, Otile Brown, Vera aliipiga picha moja isiyo ya kawaida na kuwafanya mashabiki wake kujimwaya mtandaoni kujionea.
Sosholaiti huyo alikuwa amevali nguo ya kubana mno ambayo iliianika uchi wake na kuibua hisia kali.
Na Neema Joshua.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
Wengi wamekuwa wakimiminika katika ukurasa wake maarufu wa Instagram ili kujiburudisha kwa picha zake za kunata.
Akiwa likizoni nchini Mauritious na mpenziwe, Otile Brown, Vera aliipiga picha moja isiyo ya kawaida na kuwafanya mashabiki wake kujimwaya mtandaoni kujionea.
Sosholaiti huyo alikuwa amevali nguo ya kubana mno ambayo iliianika uchi wake na kuibua hisia kali.
Na Neema Joshua.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
PICHA ZA VERA ZAZUA GUMZO MTANDAONI KWA KUONYESHA MAUNGO YAKE YA NDANI
Reviewed by By News Reporter
on
7/11/2018 02:39:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: