Loading...

HABARI ZA HIVI PUNDE: MKE WA KIBONDE WA MTANGAZAJI WA CLOUDS FM AFARIKI DUNIA

Loading...
Taarifa za hivi punde zinasema kuwa Mke wa Mtangazaji wa Clouds Fm katika kipindi cha Jahazi, Ephraim Kibonde amefariki dunia.

Kwa mujibu wa Rafiki mkubwa na Mtangazaji mwenzie Gadner G. Habash amesema Mke wa Kibonde aitwae Sara Kibonde na amefariki usiku wa jana akiwa anapatiwa matibabu kwenye hospitali ya Hindu Mandal.

"Muing ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, AMINA."
Na Geofrey Okechi.




Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
HABARI ZA HIVI PUNDE: MKE WA KIBONDE WA MTANGAZAJI WA CLOUDS FM AFARIKI DUNIA HABARI ZA HIVI PUNDE: MKE WA KIBONDE WA MTANGAZAJI WA CLOUDS FM AFARIKI DUNIA Reviewed by By News Reporter on 7/11/2018 10:19:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.