Loading...

MAKONDA NA MWANDANI WAKE WAKARIBISHA MTOTO WA KIUME

Loading...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda na mkewe wamefanikiwa kupata Mtoto wa kiume, ambaye wamempa jina la Keagan.

Kupitia katika Ukurasa wake wa Instagram, Makonda amemshukuru Mungu kwa zawadi hiyo ya pekee na kuandika “Mungu wewe ni waajabu tena unatenda kwa wakati wako. Asante kwa zawadi ya mtoto wa kiume, Keagan P Makonda.”
Na Haila Gabriel.


Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
MAKONDA NA MWANDANI WAKE WAKARIBISHA MTOTO WA KIUME MAKONDA NA MWANDANI WAKE WAKARIBISHA MTOTO WA KIUME Reviewed by By News Reporter on 7/17/2018 05:17:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.