Loading...

MIKAKATI YA KUIMARISHA AFYA YA MAMA NA MTOTO YAIMARIKA

Loading...
Tabora. Leo Waziri Ummy Mwalimu alitembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Kitete kufuatilia utoaji wa huduma za Afya.

Katika ziara yake aligundua changamoto kama vile; Uhaba wa watumishi hasa wauguzi na Ufinyu wa Wodi ya Wazazi.

Katika kutatua changamoto hizo amehaidi  kwa niaba ya Wizara yake ya Afya kupereka Wauguzi wapya 39 na watumishi wengine 10. Aidha, watapereka pia Shs. 300 milioni kupanua jengo la Wazazi na kukamilisha Chumba cha Upasuaji (Theatre).
Na Paskali Joseph.




Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
MIKAKATI YA KUIMARISHA AFYA YA MAMA NA MTOTO YAIMARIKA MIKAKATI YA KUIMARISHA AFYA YA MAMA NA MTOTO YAIMARIKA Reviewed by By News Reporter on 7/17/2018 05:35:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.