Loading...

MKUTANO WA TRUMP NA PUTTIN WAGHARIMU MAMILIONI

Loading...
MKUTANO kati ya  Rais Trump wa Marekani na Rais wa Urusi, Vladimir Putin, nchini Helsinki ‘umekula’ Dola 300,000 ambazo ni sawa na Sh. mil. 684 za kiTanzania.

Fedha hiyo ni pamoja na manunuzi na matumizi mbalimbali kwa ajili ya mkutano huo nchini Helsinki.

Mkutano kati ya Trump na kiongozi wa Korea ya Kaskazini, Kim Jong-un, uliofanyika kama miezi miwili iliyopita, ‘ulikula’ Dola 162,000 ambazo ni sawa na Sh. mil. 369.
Na Fatma Pembe.




Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
MKUTANO WA TRUMP NA PUTTIN WAGHARIMU MAMILIONI MKUTANO WA TRUMP NA PUTTIN WAGHARIMU MAMILIONI Reviewed by By News Reporter on 7/17/2018 05:40:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.