Loading...
Nabii aliyeshindwa kumfufua mfu aliyefariki siku nne zilizopita amekamatwa na maafisa wa polisi nchini Ethiopia.
Kanda ya video ya nabii huyo kwa jina Getayawkal Ayele,ikiita jina la mfu huyo kwa lengo la kumfufua ilisambazwa katika mtandao wa facebook.
Tukio hilo lilifanyika katika mji wa Galilee huko Wollega magharibi mwa Ethiopia.
Awali alikuwa ametembelea familia ya mfu huyo kwa jina Belay Bifu na kuwahubiria kuhusu habari ya Lazurus,vile Yesu alivyomfufua.
Baadaye aliwafanya watu kuchimba kaburi na kuchukua kipande cha nguo kilichotumika kumfunga marehemu na kuanza kumwambia Belay amkaa!!! amkaa!!.
Baada ya majaribio kadhaa ambayo hayakufanikiwa nabiii huyo aliondoka katika kaburi hilo akisema haiwezekani.
Watu waliokuwa wakitazama kisa hicho walikasirika na kuanza kumpiga kabla ya polisi kuwasili na kumkamata.
Na Haika Gabriel.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

MCHUNGAJI ALIYESHINDWA KUMFUFUA MFU AKAMATWA NA POLISI - ETHIOPIA
Reviewed by By News Reporter
on
7/23/2018 09:08:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: