Loading...

MGONJWA WA AKILI AUA WATU WAWILI CHIBOBO - ZAMBIA

Loading...
Baba mmoja (29), pamoja na mtoto wake wa kwanza wameuawa kifo cha kutisha na kichaa mmoja (mgonjwa wa akili) kwa shoka.

Tukio hilo limetokea huko wilaya ya Chibobo, nchini Zambia siku ya Alhamisi majira ya saa 12 jioni.

Msemaji wa polisi Esther Katongo alimtambua mtu huyo kwa jina la Muyukwa Kwibisa Kanema wa kijiji cha Musena, Chifu Liteta wa Chibombo alimtambua mshukiwa kama Mavin Kayukwa.

Alisema waathirika wote walikutwa na majeraha makubwa mwilini mwao. Na Katongo alidai mshukiwa ameshafikishwa mahakamani na miili ya marehemu imefikishwa hospitali ya Liteta kwa ajili ya kuifadhiwa.
Na Geofrey Okechi.




Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
MGONJWA WA AKILI AUA WATU WAWILI CHIBOBO - ZAMBIA MGONJWA WA AKILI AUA WATU WAWILI CHIBOBO - ZAMBIA Reviewed by By News Reporter on 7/08/2018 10:23:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.