Loading...

MRITHI WA CONTE ASAINI MIAKA MITATU (3)

Loading...
Klabu ya Chelsea imemtangaza Maurizio Sarri (59) kutoka Napoli ya Italia kuwa Kocha wake mpya.

Hatua hiyo imekuja mara baada ya kuachana na aliyekuwa Kocha wake, Muitalia, Antonio Conte baada ya kumaliza vibaya msimu wa 2017/18 huku Chelsea ikimaliza ligi ikiwa nafasi ya 5 ikiwa na alama 70.

Nasri ametua darajani na kusaini mkataba wa miaka mitatu, sawa na ule aliosaini Conte wakati huo anatangazwa mwaka 2016

Conte alitangazwa kujiunga Chelsea Aprili 4 2016 na kufanikiwa kutwaa ubingwa msimu wa 2016/17.
Na Haika Gabriel.




Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
MRITHI WA CONTE ASAINI MIAKA MITATU (3) MRITHI WA CONTE ASAINI MIAKA MITATU (3) Reviewed by By News Reporter on 7/14/2018 04:29:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.