Loading...

DEGREE YA UCHAWI CHUO KIKUU CHA ZAMBIA NI UZUSHI!

Loading...
Chuo Kikuu cha Zambia (UNZA) kimejitoa kwenye kashfa ambazo zimezuka katika mitandao ya kijamii kwamba kimeanzisha Shahada ya Uchawi ambayo itadhaminiwa na shirika la Umoja wa Mataifa la UNESCO. Hii ni kulingana na kauli iliyotolewa na meneja uhusiano wa chuo hicho Damaseke Chibale.

Bw. Chibale amesema Uchawi ni uhalifu nchini Zambia kama ilivyoelezwa katika Sura namba 90 katika Sheria za Zambia. Alisema huku akisoma mistari ya sheria hiyo kuwa hawatoruhusu shahada ya namna hiyo inayokwenda na kinyume na sheria ya nchi.
Na Haika Gabriel.




Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
DEGREE YA UCHAWI CHUO KIKUU CHA ZAMBIA NI UZUSHI! DEGREE YA UCHAWI CHUO KIKUU CHA ZAMBIA NI UZUSHI! Reviewed by By News Reporter on 8/17/2018 07:55:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.