Loading...
Kusajiliwa kwa kiungo Jorginho Jumapili Agosti 26, katika klabu ya Chelsea kunaendelea kuleta matokeo mazuri kwa klabu hiyo katika ligi kuu ya Ulaya.
Kiungo huyo aliiwekea rekodi klabu ya Chelsea baada ya kuipa ushindi kwa kuicharaza Newcastle mabao 2 - 1
Jorginho aliweza kupiga pasi 27 katika mchuano dhidi ya Newcastle na hata kukaribia kuiwekea rekodi nyingine ya kukamilisha pasi nyingi zaidi katika ligi moja tu.
Mchezaji huyo kutoka Italia sasa ndiye nambari tatu katika historia ya ligi kuu ya Ulaya katika kupiga pasi nyingi kuliko wachezaji wengine kando na wachezaji wa Manchester City Iklaya Gundogana na Fernandinho.
Cesc Fabregas, ambaye kwa sasa anauguza jeraha alikuwa bingwa wa Chelsea katika kumaliza pasi 144 dhidi ya West Brom miaka minne iliyopita.
Jorginho alisajiliwa na Chelsea kwa pauni 57 baada ya kuhama kutoka Napoli msimu uliopita na timu hiyo iko na matumani kwamba itaimarika.
Na Hamisi Fakhi.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
EPL UPDATES: KUSAJILIWA KWA JORGINHO KLABU YA CHELSEA KWAZAA MATUNDA
Reviewed by By News Reporter
on
8/28/2018 10:33:00 AM
Rating:
![EPL UPDATES: KUSAJILIWA KWA JORGINHO KLABU YA CHELSEA KWAZAA MATUNDA](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgKZhpYKN7Hf12a2Uy428MRkcpdZwgrRj5bGBW09XOFPm2NyNHzt5yq61L5-vd4CWLJYQ7v3nfxbHteB-yCESusl6JGl2Me1E49jjbvDVkxGFjGsvrKD8W6nro8_tO6mKpVcCS6O-48Mrw/s72-c/KUSAJILIWA+KWA+JORGINHO+KLABU+YA+CHELSEA+KWAZAA+MATUNDA.jpg)
Hakuna maoni: