Loading...

JAPAN KUUNDA GARI LA KUPAA RASMI MPAKA KUFIKIA 2020

Loading...
Mradi wa kutengeneza gari lenye uwezo wa kupaa umeanza rasmi nchini Japan.

Kulingana na vyombo vya habari vya Japan kampuni 20 zinashirikiana katika kuhakikisha mradi huo unafanikiwa.

 Uber, Japan Airlines, Airbus, Boeing, NEC, Toyota, ANA na Yamato ni kati ka kampuni zinazohusika na utengenezaji wa gari  hilo la kipekee.

Wizara ya uchumi, biashara na viwanda nchini Japan imesema kuwa mradi huo utatumia bajeti ya dola za kimarekani  $40.4 milioni.

Gari la kupaa linatarajiwa kukamilika ifikapo 2020.
Na Hamisi Fakhi.





Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
JAPAN KUUNDA GARI LA KUPAA RASMI MPAKA KUFIKIA 2020 JAPAN KUUNDA GARI LA KUPAA RASMI MPAKA KUFIKIA 2020 Reviewed by By News Reporter on 8/27/2018 06:41:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.