Loading...

MASHABIKI WA BACKSTREET BOYS WAJERUHIWA NA KIMBUNGA HUKO OKLAHOMA KWENYE ONYESHO

Loading...
Angalau mashabiki 14 wa kundi la Backstreet Boys wamejeruhiwa baada jukwaa la vyuma kuwaangukia baada ya kimbunga kuwakumba katika tamasha lililofanyika huko Oklahoma, Marekani.

Wahudumu katika shoo walianza kuwa tawanya mashabiki pale mvua kubwa iliyogubikwa na upepo mkali ilipoanza kunyesha yenye kasi ya (113 - 128) kilometa/saa. Upepo makali ulivuma na kugonga kingo za chuma za lango na kuangusha nguzo na hata kujeruhi mashabiki.
Majeruhi wote walifikishwa hospitalini. Na wawili kati yao wamekwisha ruhusiwa.

Kupitia mtandao wa twitter, Bendi hiyo ya nchini Marekani iliamua kuhairisha shoo, walisema: "Hatuweza kutumbukiza mashabiki zetu kwenye hatari ya namna hii."
Na Neema Joshua.




Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
MASHABIKI WA BACKSTREET BOYS WAJERUHIWA NA KIMBUNGA HUKO OKLAHOMA KWENYE ONYESHO MASHABIKI WA BACKSTREET BOYS WAJERUHIWA NA KIMBUNGA HUKO OKLAHOMA KWENYE ONYESHO Reviewed by By News Reporter on 8/21/2018 07:33:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.