Loading...

MCHEKESHAJI ERIC OMONDI AIBUKIA KWENYE UGANGA ATIBU WATU MAREKANI

Loading...
Hivi karibuni Omondi alisisimua mitandao ya kijamii baada ya kuchapisha video kwenye ukurasa wake wa instagram ambapo alijifanya mganga wa kienyeji na kuwanasa raia wengi wa Marekani.

Kwenye kipande hicho cha video, Omondi alionekana akiwa amevalia mavazi ya kitamaduni na akiwa ameketi katikati ya mji wa New York akiwashughulikia wateja wake.

Kila aliyemuona alimsogelea karibu akitaka kujua kilichokuwa kikiendelea na kwa kweli raia wengi wa Marekani walionekana kufurahishwa na kitendo hicho. 

Kuna wale walionekana wakimlipa pesa ili awahuhudumie, wasijue kwamba ilikuwa tu ni ucheshi. 

Tazama video;

Na Neema Joshua.




 Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
MCHEKESHAJI ERIC OMONDI AIBUKIA KWENYE UGANGA ATIBU WATU MAREKANI MCHEKESHAJI ERIC OMONDI AIBUKIA KWENYE UGANGA ATIBU WATU MAREKANI Reviewed by By News Reporter on 8/14/2018 09:27:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.