Loading...

NDOA YA YOUNG DEE YAYEYUKA, KUMBE NI KIKI

Loading...
Kulikuwa na picha zilizokuwa zikisambaa katika mitandao ya kijamii zikiomyesha kuwa msanii wa bongo fleva, Young Dee amefunga ndoa na mwanamke mmoja inaeemekana kuwa sio wa nchini, maswali mengi yalitanda kutokana na ukimya na usiri wa ndoa hiyo.

Hata hivyo wengi walikuja kuamini kutokana na pongezi nyingi walizokuwa wakipewa kutoka kwa watu mbalimbali kuhusu hatua aliyoichukua ya kufunga ndoa na mwanamke huyo.

Ndoa hiyo imeota mbawa baada ya kuonekana kwa video  mpya ya Young Dee ya wimbo ulikwenda kwa jina la naoa ambapo picha hizo ni photoshoot za wimbo huo.

Imekuwa ni jambo la kawaidia kwa wasanii kufanya kitu kikubwa kitakachowafanya mashabiki kukaa attention kumbe inakuwa ni kiki ya kutaka kutoa wimbo mpya, hiki alichofanya Young Dee pia walishafanya watu wengi katika game.
Na Mary Mkeu.




Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
NDOA YA YOUNG DEE YAYEYUKA, KUMBE NI KIKI NDOA YA YOUNG DEE YAYEYUKA, KUMBE NI KIKI Reviewed by By News Reporter on 8/14/2018 10:48:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.