Loading...

WANYAMA WATANO AMBAO HUWEZI KUAMINI KAMA WAPO DUNIANI

Loading...
Sayansi ina mambo mengi ya kushangaza, na hii ni baada ya matokeo chanya ya ukuaji wa teknolojia zinazogunduliwa kila siku. Huwezi amini kama wanyama wa aina nyingine wangeweza kutengenezwa kwa kutumia mchanganyiko wa wanyama aina mbili tofauti.

Leo hii wanasayansi wameenda mbali zaidi kiasi ambacho wanaweza kuzalisha aina za ajabu za wanyama kutoka kwa mchanganyiko wa mbegu mbili tofauti. Wanya wafuatao ni vizalia vya nchanganyiko wa wanyama wawili tofauti;

1. Tigon (Chui dume + Simba jike)

2. Liger ( Simba Dume + Chui Jike)
Liger ndiye paka anayeshikilia kwa ukubwa na uzito duniani kuliko paka wote, ikiwa anakadiriwa kuwa na uzito wa 410 Kg, na anakuwa kwa kasi sana kuliko chui au simba wa kawaida.

3. Beefalo (Nyati + Ng'ombe)
Beefalo ni mchanganyiko kati ya nyati wa porini na ng'ombe wa kawaida, na aina ya wanyama hawa wapo toka miaka ya 1800 hadi sasa.

4. Zonkey (Punda Milia + Farasi)

5. Geep (Mbuzi + Kondoo)
Mchanganyiko mwingine wa wanyama ni wa mbuzi na kondoo, japo wapo wachache sana.
Na Mohamed Makame.








WANYAMA WATANO AMBAO HUWEZI KUAMINI KAMA WAPO DUNIANI WANYAMA WATANO AMBAO HUWEZI KUAMINI KAMA WAPO DUNIANI Reviewed by By News Reporter on 8/14/2018 01:24:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.