Loading...

TANZIA: MAMA MZAZI WA MHE. JOSEPH MBILINYI 'SUGU' AAGA DUNIA

Loading...

Mama mzazi wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu (CHADEMA), amefariki dunia jana Jumapili Agosti 26, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), alikokuwa akipatiwa matibabu.

Taarifa ya kifo chake imethibitishwa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma na Huduma kwa Wateja, Aminiel Aligaesha.


'WOTE KWA PAMOJA TUNASEMA: PUMZIKA MAMA YETU MAHALI PEMA PEPONI - AMINA'

Na Neema Joshua.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
TANZIA: MAMA MZAZI WA MHE. JOSEPH MBILINYI 'SUGU' AAGA DUNIA TANZIA: MAMA MZAZI WA MHE. JOSEPH MBILINYI 'SUGU' AAGA DUNIA Reviewed by By News Reporter on 8/27/2018 05:58:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.