Loading...

WATUHUMIWA WAWILI WA UJAMBAZI WATOROKEA KWENYE GARI LA POLISI

Loading...
Watuhumiwa wawili wa uhalifu wametoroka wakiwa chini ya ulinzi wa jeshi la polisi wakiwa wanasafirishwa kutoka Ellisras kwenda Polokwane nchini Afrika Kusini.

Colonel Sakkie Louwrens aliiambia mtandao wa News24 kwamba Petrus Moyo na Witness Shimango walivunja dali la gari ya gari ya polisi iliyokuwa inatembea na kuruka nje huko Marken, Limpopo.

"Mmoja alishikiliwa kwa mauaji na mwingine wizi wa kuvunja nyumba," alisema Louwrens. Louwrens alisema haijawa wazi waliwezaje kuvunja dali na kutoroka.
Mnamo Novemba, Moyo alitoroka chini ya ulinzi wa polisi huko Lephalale. News24 aliripoti wakati huo.

Tukio hilo limewashangaza askari hao na kujiuliza maswali mengi.
Na Mary Mkeu.




Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
WATUHUMIWA WAWILI WA UJAMBAZI WATOROKEA KWENYE GARI LA POLISI WATUHUMIWA WAWILI WA UJAMBAZI WATOROKEA KWENYE GARI LA POLISI Reviewed by By News Reporter on 8/17/2018 04:39:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.