Loading...
Kama unafikiria umeona mengi ya kushangaza, bado haujayamaliza. Kuna mwanamume aliye na uwezo wa kupuliza maputo kwa kutumia masikio.
Talanta hiyo yake ya kipekee imewashangaza wakazi wa Banana, katika Kaunti ya Kiambu nchini Kenya.
John Njoroge, kulingana na televisheni ya Citizen, Njoroge alitambua kuwa alikuwa na uwezo wa kupuliza maputo kwa kutumia masikio 2017, ambapo amebadilisha talanta hiyo na kuwa biashara.
"Nilikuwa Banana na watu wakataka niwaonyeshe jinsi ninavyopuliza maputo na kuyajaza hewa. Nilianza kuchangisha pesa kidogo, na hivyo ndio ilifanyika kuwa biashara,” alisema. Njoroge hufanyia shoo hiyo katika kituo cha mabasi cha Banana ambako huenda kila siku na kupata takriban Sh. 4500 kwa siku.
Hata hivyo, wataalamu wa afya wameonya kuwa huenda akabadilika kuwa kiziwi akiendelea kupuliza maputo hayo kwa kutumia masikio.
Ni dhahiri talanta ya namna hii tumezoea kuziona kwa watu weupe (Wazungu) - Wahindi na Wazungu lakini Mkenya huyo alivunja ukimya na kuanza kuonyesha talanta hiyo hadharani.
Na Fatma Pembe.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

BAADA YA MZUNGU, MKENYA NAE AONYESHA MAAJABU KUCHEZEA MAPUTO
Reviewed by By News Reporter
on
9/15/2018 09:36:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: