Loading...
KAA FARASI ni kati ya viumbe wachache na hadimu vilivyobaki Duniani, Mbali na kuwa ni viumbe walioishi miaka milioni 450 iliyopita. Wanazidi kaonekana kuwa na mashiko katika tafiti na tiba. Kiasi kwamba damu yao kuuzwa dola $60,000 kwa galoni.
Damu ya viumbe hao inagharama sana sio kwa sababu ni blue yenye upekee. Bali, damu zao zina seli zenye uwezo wa kuangamiza vimelea vya maradhi (pathojeni). Huwezo huu wa asili wa kulinda miili yao ndio umewafanya pia waishi kwa miaka mingi sana.
Hii ni bahati kwetu, utaratibu huo huo pia unaweza kutumika kulinda damu ya binadamu dhidi ya pathojeni hatari kama vile virusi, bacteria n.k
Kutokana na tija hiyo, wanasayansi wametafuta njia ya kuvuna damu za viumbe hao waishio baharini.
Ambapo uvunaji wa damu unafanyika kipindi cha kiangazi kila mwaka ambapo kaa zaidi 600,000 wanakamatwa ili kuchangia damu kwa njia ya kitaalamu. Na zaidi ya asilia 30 ya damu kwa kila kaa mmoja huchukuliwa.
Wanasanyansi wanasema wataendelea kufanya uvunaji kadri wawezavyo ili kusave maisha ya watu waiohesabika.
Na Mwanahawa Bakhari.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

MJUE KAA AMBAYE DAMU YAKE HUUZWA GALI ZAIDI
Reviewed by By News Reporter
on
9/15/2018 12:13:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: