Loading...

BILIONEA MMAREKANI AFIKA DAU LA KLABU YA CHELSEA

Bilionea wa Marekani na mmiliki wa timu ya soka ya Seattle Seahawks, Paul Allen anasemekana kuwa na nia ya kununua timu hiyo ya Uingereza, Chelsea kutoka kwa bilionea raia wa Urusi, Roman Abramovic.

Abramovic ambaye amekuwa mmiliki wa timu hiyo kwa kipindi cha miaka 15 iliyopita alisema kuwa yuko tayari kuiuza klabu hiyo kwa dola za kimar
Loading...
kani $4 bilioni.

Kwa mujibu wa gazeti la The Sun, Allen ambaye pia ni mmiliki wa Portland Blazers na Seattle Sounders.

Allen, 65, anasemekana kukutana na ajenti wake wa soka Pini Zahavi jijini New York kuhusu uwezekano wa kununua klabu hicho cha Chelsea.
Na Neema Joshua.




Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
BILIONEA MMAREKANI AFIKA DAU LA KLABU YA CHELSEA BILIONEA MMAREKANI AFIKA DAU LA KLABU YA CHELSEA Reviewed by By News Reporter on 9/28/2018 08:39:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.