Loading...

COCACOLA YAZINDUA SODA MPYA YENYE LADHA YA LIMAO, YAZUA GUMZO DUNIANI KOTE

Loading...
Kampuni ya vinywaji baridi ya Cocacola imejikuta ikishika vichwa vya habari katika msimu huu wa joto baada ya uzinduzi wa soda yake mpya ya 'Cococola-clear' yenye ladha ya limao huko nchini Japan, mwezi Juni mwaka huu.

Muundo wa chupa na mwonekano wa soda hiyo ndio kitu ambacho kinamvutia mtu kwa mara ya kwanza kabla hajaonja ladha, soda hiyo haina rangi (rangi ya maji) na kumfanya mtu kuwa na hamu ya kuionja kutokana na namna ilivyozoeleka soda za coke kuwa na rangi nyeusi.

Hata hivyo, kampuni hiyo kubwa ya vinywaji duniani haijaweka wazi kama itaiuza bidhaa hiyo katika nchi zote au ni bado ipo katika majaribio nchini japan.
Na Neema Joshua.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
COCACOLA YAZINDUA SODA MPYA YENYE LADHA YA LIMAO, YAZUA GUMZO DUNIANI KOTE COCACOLA YAZINDUA SODA MPYA YENYE LADHA YA LIMAO, YAZUA GUMZO DUNIANI KOTE Reviewed by GEOFREY MASHEL on 9/10/2018 08:42:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.