Loading...

MGAHAWA UNAOUZA NYAMA ZA WATU WAFICHULIWA CAMEROON

Loading...
Mwili wa msichana mdogo ulipatikana katika mgahawa mmoja unaosemekana kuuza nyama za watu uliopo Eleveur, Yaounde, Cameroon jana.

Meneja wa mgahawa huo ambaye uuza sahani ya chakula kwa Sh. 3000 pesa za Kitanzania akitumia nyama za binadamu, aliwafahamisha raia wenye asira kali kuwa ukweli ni kwamba mama wa mtoto aliyeuawa ndio aliyekuja kubadilishana naye kichwa cha mtoto na nyaraka za kusafiria nje ya nchi.

Mpaka sasa mmiliki wa mgahawa huo na mama wa marehemu wamefikishwa kituo cha polisi kwa uchunguzi zaidi.
Na Rafael Philipo.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
MGAHAWA UNAOUZA NYAMA ZA WATU WAFICHULIWA CAMEROON MGAHAWA UNAOUZA NYAMA ZA WATU WAFICHULIWA CAMEROON Reviewed by By News Reporter on 9/09/2018 02:56:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.