Loading...

JPM AZINDUA RASMI HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA SIMIYU

Loading...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa jengo la wagonjwa wa nje(OPD) la hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu.wengine ni Waziri wa Afya,maendeleo ya jamii,jinsia na watoto Ummy Mwalimu,Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luaga Mpina,Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo,Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthon Mtaka,Mbunge wa Jimbo la Bariadi Andrew Chenge,Mbunge wa Chemba Juma Nkamia.hafla hiyo imefanyika Bariadi Mkoa wa Simiyu
Sehemu ya jengo la wagonjwa wa nje (OPD)la hospitali ya rufaa ya mkoa wa Simiyu lililofunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Bariadi Mkoa wa Simiyu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa jengo la wagonjwa wa nje(OPD) la hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu.wengine ni Waziri wa Afya,maendeleo ya jamii,jinsia na watoto Ummy Mwalimu,Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luaga Mpina,Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo,Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthon Mtaka,Mbunge wa Jimbo la Bariadi Andrew Chenge,Mbunge wa Chemba Juma Nkamia.hafla hiyo imefanyika Bariadi Mkoa wa Simiyu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi mara baada ya kukata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa jengo la wagonjwa wa nje(OPD) la hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu.wengine ni Waziri wa Afya,maendeleo ya jamii,jinsia na watoto Ummy Mwalimu,Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luaga Mpina,Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo,Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthon Mtaka,Mbunge wa Jimbo la Bariadi Andrew Chenge,Mbunge wa Chemba Juma Nkamia.hafla hiyo imefanyika Bariadi Mkoa wa Simiyu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali mojawapo ya wgonjwa aliyepumzishwa katika chumba cha mapumziko katika hospitali mpya ya Rufaa ya mkoa wa Simiyu mara baada ya kuifungua rasmi hospitali hiyo,Bariadi Mkoa wa Simiyu.

Waziri wa Afya ,Maendeleo ya jamii,jinsia na watoto Ummy Mwalimu akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa jengo la wagonjwa wa nje(OPD) la hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu.hafla hiyo imefanyika Bariadi Mkoa wa Simiyu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi kabla ya kufungua rasmi jengo la wagonjwa wa nje(OPD) la hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu.hafla hiyo imefanyika Bariadi Mkoa wa Simiyu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waziri wa Afya ,Maendeleo ya jamii,jinsia na watoto Ummy Mwalimu pamoja na Mkuu wa mkoa wa Simiyu Anthon Mtaka kabla ya kufuangua jengo la wagonjwa wa nje(OPD) la hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu.hafla hiyo imefanyika Bariadi Mkoa wa Simiyu.Jana Septemba 8,2018.

Na Marry Mkeu.

Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
JPM AZINDUA RASMI HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA SIMIYU JPM AZINDUA RASMI HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA SIMIYU Reviewed by By News Reporter on 9/09/2018 12:23:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.