Loading...

C.RONALDO AZINDUA MTINDO MPYA WA CHUPI

Nyota wa soka kutoka timu ya Italia ya Juventus na raia wa Ureno, Cristiano Ronaldo amewafurahisha wengi kwa hatua yake ya hivi punde kuzindua chupi zenye jina lake.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 33 alipiga picha akiwa amevaaa chupi hiyo na kulala katika dimbwi la mipira.
Loading...
;">
Akiinadi chupi zake, Ronaldo alisema kuwa huwa zinampa mtu hewa safi.

Cristiano licha ya kuwa mwanasoka anayepata utajiri mwingi kupitia soka, ni mmoja wa wachezaji bora ulimwenguni ambao wana biashara si haba hata shirika la Forbes likamuorodhesha kama nyota wa soka tajiri zaidi duniani.
Na Mike Okechi.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
C.RONALDO AZINDUA MTINDO MPYA WA CHUPI C.RONALDO AZINDUA MTINDO MPYA WA CHUPI Reviewed by By News Reporter on 9/14/2018 08:18:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.