Loading...
Shirika la Ndege la Uganda, Ndege za kitaifa imetangaza kazi kipindi cha katikati ya mwaka ujao.
Kwa mujibu wa taarifa zilizochapishwa na gazeti la Daily Monitor la nchini Uganda, Cabin Crew ni miongoni mwa kazi zilizotangazwa. Kazi nyingine zilizotangazwa ni zinazo husiana na uendeshaji wa shughuli za ndege kama, uhandisi, mauzo na masoko, shughuli za cabin, usimamizi wa mapato, usimamizi wa fedha, waajiri, usalama na huduma kwa wateja.
"Ndege hiyo sasa inatarajia kualika maombi mengi ya kazi kwa nafasi zilizotolewa ili kufanya uzinduzi wa ndege hiyo uliofanyika mapema mwaka 2019," taarifa inaeleza.
Uganda Airlines itaendesha shughuli zake kwa abiria na mizigo iliyokwenye ratiba na isio na ratiba kwenda Afrika, Asia, Ulaya na Mashariki ya Kati.
Na Catherine Kisese.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

FURSA: UGANDA AIRLINES YATANGAZA NAFASI ZA AJIRA
Reviewed by By News Reporter
on
9/06/2018 02:19:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: