Loading...

TAARIFA KWA UMMA: UTEUZI WA KAMISHNA DIWANI ATHUMANI KUWA MKURUGENZI WA TAKUKURU

Loading...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Kamishna wa Polisi Diwani Athumani kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).

Uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani unaanza leo 06 Septemba, 2018.

Kabla ya uteuzi huo Kamishna Diwani Athumani alikuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera.

Kamishna Diwani Athumani anachukua nafasi ya Kamishna wa Polisi Valentino Mlowola ambaye ameteuliwa kuwa Balozi.

Na Paul Magiye.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
TAARIFA KWA UMMA: UTEUZI WA KAMISHNA DIWANI ATHUMANI KUWA MKURUGENZI WA TAKUKURU TAARIFA KWA UMMA: UTEUZI WA KAMISHNA DIWANI ATHUMANI KUWA MKURUGENZI WA TAKUKURU Reviewed by By News Reporter on 9/06/2018 01:44:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.