Loading...
Sosholaiti mrembo kutoka Kenya Huddah Monroe amekosoa sana waratibu wa tuzo la Black Entertainment Film Fashion Television and Arts (BEFFTA) ambazo hutolewa kila mwaka Uingereza kwa kufananishwa na Vera na Zari.
Katika tuzo hizo alichaguliwa katika upande wa biashara pamoja na Sarah Hassan, Vera Sidika, Zari Hassan, Hamisa Mobetto, Mbabazi Shadia kutoka Rwanda nanJacklyn Ntuyabaliwe.
Kuchaguliwa kwa Vera na Zari katika kitengo hicho kulimwuudhi Huddah Monroe ambaye alionekana kulalamika katika mitandao ya kijamii.
Katika ujumbe alioweka Instagram saa kadhaa baada ya kugundua jina lake lilikuwa limeorodheshwa, sosholaiti huyo aliwakosoa waratibu wa hafla hiyo kwa kumfananisha na Vera na Zari kwa kuwaweka katika kitengo kimoja naye.
Huddah alisema hana haja na tuzo na hatashindana na yeyote kwa sababu yeye ni mshindi wakati wote.
''Mlinichagua kwa tuzo ambazo sijali kabisa. Biashara yangu ni yangu peke yangu na ninaweza kushirikisha tu wale wanaoniamini. Sijawahi kuanguka kwa chochote nikifanyacho maishani mwangu, sishindani na yeyote, lengo langu ni mimi,” aliandika.
Sosholaiti huyo alidai kuwa hashindani na yeyote Afrika, labda Marekani. Lakini haikuwashangaza wengi kwani ni wazi kwamba hapendani na Zari Hassan au Vera Sidika.
Na Neema Joshua.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

HUDDAH AZIKOSOA TUZO BEFFTA ZA UINGEREZA KISA KWA KUSHANDANISHWA NA ZARI NA VERA SIDIKA
Reviewed by GEOFREY MASHEL
on
9/08/2018 01:23:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: