Loading...
Msanii maarufu wa Afrika mashariki Jose Chameleone Jumapili, Septemba 16 alifunguka kupitia mtandao wa facebook kuwa wametengana rasmi na mkewe, Daniella.
Msanii huyo amabye anafanya mziki wake nchini Uganda alitoa sababu kadhaa zilizochangia kuachana na mkewe huyo.
''Ukae Daniella. Mungu akubariki siku zote. Siwezi kujitetea zaidi ya hapo,’’ kauli aliyoandika mtandaoni.
Chameleone na mkewe walikuwa wameishi kwa zaidi ya miaka 7 kabla ya Daniella kuwasilisha kesi mahakamni akiomba talaka mnamo 2007.
Katika kesi hiyo, Daniella alidai kuwa mumewe alikuwa mlevi kupindukia na alizua fujo na kumpiga kila baada ya kulewa.
Licha ya wawili hao kubarikiwa na mtoto wa tano hivi majuzi, ndoa yao imekuwa na misukosuko huku mwanamke huyo akilalamika kuwa msanii huyo amekuwa akimnyanyasi sana.
Na Geofrey Okechi.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

JOSE CHAMELEONE WATEMANA NA MKEWE
Reviewed by By News Reporter
on
9/18/2018 06:35:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: