Loading...
Katika ukurasa wake wa twitter msanii Dogo janja amewashtua mashabiki zake baada ya kuweka ujumbe ambao kidogo umeashiria kama mtu aliyekataa tama kabisa na maisha hivyo kujikuta akiongea vitu vinavyoashiria kutaka kupoteza uhai.
Msanii huyo ambae hapa karibuni lizivuma tetesi kuwa alilazwa huku sababu kubwa ikiwa ni presha na mshtuko alioupata baada ya kugomabana na mkewe Irene uwoya ambae wamefunga ndoa mwanzoni mwa mwaka huu.
Hata hivyo Dogo janja alipoulizwa kuhusu maneno hayo alikri kuyaandika huku akisema kuwa hiyo ni baadhi ya mistari katika nyimbo yake mpya huku akikataa kuongelea swala la yeye na mkewe.
Na Geofrey Okechi.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

KAULI YA DOGO JANJA YAWASHTUA MASHABIKI
Reviewed by By News Reporter
on
9/24/2018 04:06:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: