Loading...
Filamu ya 'Predator' kwa mara ya kwanza iliigizwa na muigizaji maarufu wa Hollywood, Arnold Schwarzenegger ambaye katika filamu hiyo aliigiza kama mwanajeshi aliyejulikana kwa jina la Dutch.
Alipewa kazi ya kwenda kuwaokoa kundi la wanasiasa waliotekwa huko Guatemala, katika mpango aliongozana na timu yake yenye watu waliobobea katika silaha na mpelelezi wa CIA, lakini walikuta kiumbe cha ajabu kilichofanya mauaji ya ajabu kwa watu wa eneo hilo ndipo mpango wa uokoaji ulipoanza kuwa mgumu.
Leo tuna ona maandalizi ya filamu hiyo mpya yenye maadhi na stori ilele lakini imeigiza kwa teknolojia ya juu na kusisimua zaidi na kupewa jina la 'The Predator' kwasasa hatumuoni Arnold tena bali tunawaona waigizaji wakali kama Olivia Munn, Boyd Holbrook, Keegan-Michael Key, Sterling K Brown na wengine wengi.
Filamu inatarajiwa kuzinduliwa kwa mara ya kwanza nchini Ujerumani mwezi Septemba 13, 2018 na kionjo cha filamu hiyo kimeshatambulishwa rasmi.
Na Fatma Pembe.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

MOVIE LEO: FILAMU YA 'PREDATOR' YAJA KIVINGINE, YASHEHENI MASTAA KIBAO
Reviewed by By News Reporter
on
9/07/2018 03:06:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: