Loading...
Nicki Minaj amefunguka sifa za mwanaume anayemtaka au muhitaji yeye hasa katika mambo ya faragha.
Kama wanawake wengine sio kitu cha ajabu kusikia mwanadada Nicki kuwa na machaguo yake kwa mwanaume. Siku ya Jumanne, katika mahojiano na kipindi cha The Ellen DeGeneres Show alipata muda wa kusema ladha anazotaka kwa mshikaji wake wa pembeni.
Ili umfanye mrembo huyo afurahi, rapa huyo amesema anahitaji kushughulikiwa angalau mara tatu kwa usiku mmoja, na sio mara moja wala mara mbili.
"Kama utakuwa na pumzi ya kunishughulikia mara moja au mbili kwa wiki peke yake, kwangu hautokuwa na nafasi - Mimi nahitaji twende mchaka mchaka mara 3 kwa usiku mmoja," alisema Nicki.
Kwa kuongezea, alisema anahitaji mshikaji wake kufanya haraka, kwa sababu muda ni mali. Alimueleza Ellen:
"Huwa nina wakatisha wanaume wanaopenda kubusa sana, japokuwa napenda kubusu pia, lakini huwa nawaharakisha wafanye yao haraka halafu niendelee na mengine."
Sikia hii? Nicki Minaj ana muda wa kutosha kunyonyana midomo kwani anadai ni upumbavu, anachohitaji ni kushughulikiwa mara tatu mpaka aridhike na aondoke.
Na anadai akisharidhika yeye inatosha kwakuwa hayupo kwa ajili ya kuwa kama mashine na hii sio dunia ya 1920, sawa?
Na Haika Gabriel.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

RAPA NICKI MINAJ AFUNGUKA MWANAUME ANAYEMTAKA WAKIWA FARAGHA
Reviewed by By News Reporter
on
9/07/2018 04:12:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: