Loading...
MBUNGE wa Mikumi kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Haule (Profesa Jay), amefiwa na baba yake mzazi, Mzee haule leo akiwa katika Hospitali ya St. Kizito, Mikumi, ambapo alikuwa asafirishwe kwenda kupata matibabu zaidi Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Prof. Jay amethibitisha kifo hicho katika mawasiliano aliyoyafanya kwa njia ya simu akiwa Dodoma.
Endelea kufuatilia blogu yako pendwa ili kujua mengi zaidi kuhusu msiba huo.
Na Geofrey Okechi.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
TANZIA: BABA MZAZI WA MWANAMUZIKI PROFESA JAY AFARIKI DUNIA
Reviewed by By News Reporter
on
9/07/2018 04:38:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: