Loading...
Benki Kuu ya Tanzania imewataka wananchi kuheshimu Fedha ya Tanzania kwa kuwa ni moja ya alama ya taifa na kuonya kwamba kudhihaki na kukejeli noti na sarafu za Tanzania ni kosa la jinai.
Na Fatma Pembe.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
ONYO KWA WANAODHIHAKI FEDHA YA TANZANIA
Reviewed by By News Reporter
on
9/20/2018 09:55:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: