Loading...
Kila baada ya sekunde tano mtoto hufariki kutokana na magonjwa ambayo yanaweza kutibika duniani.
Kulingana na ripoti ya Umoja wa Mataifa (UN), takriban watoto milioni 6.3 wenye umri chini miaka 15 wamepoteza maisha kutokana na magonjwa yanayozuilika ndani ya kila sekunde tano mwaka 2017.
Katika ripoti ya pamoja ya UNICEF,shirika la afya duniani WHO na benki ya dunia,watoto takriban milioni 5.4 wamepoteza maisha katika miaka mitano ya kwanza ya maisha yao.
Vifo vya watoto wachanga vitaongezeka kufikia mwaka 2030 endapo hatua muhimu hazitochukuliwa.
Kati ya sababu za watoto kupoteza maisha mapema ni uhaba wa madawa,maji safi ya kunywa,umeme na chanjo.
Na Haika Gabriel.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

UNICEF: KILA BAADA YA DAKIKA 5 MTOTO HUFARIKI DUNIA
Reviewed by By News Reporter
on
9/20/2018 10:21:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: