Serikali imepanga kuanza maboresho ya bandari ya Kigoma mwezi Juni, mwaka ujao.
Haya yalisemwa jana Jumatano, Septemba 5, Bungeni na Naibu waziri wa Kazi, Usafari na Mawasiliano waziri Atashasta Nditiye.
Alipokuwa akijibu swali lililoulizwa na Mbunge wa Kigoma mjini Mheshiwa Zitto Kabwe juu ya hali ya mradi.
Mradi utafanyika chini ya msaada wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Japan (JICA).

Loading...
Verdana, sans-serif;">
Serikali na JICA Juni 29, mwaka zilikubaliana kuweka saini Mkataba wa Maelewano (MoU) juu ya utekelezaji wa mradi huo.
Alisema JICA ilikuwa ikisubiri ruhusa ya udhamini kutoka serikali ya Japan.
"Tunatarajia mambo yote yatakwenda vizuri, tutaanza kutafuta mkandarasi mnamo Novemba, mwaka huu," alisema Bw Nditiye.
Alisema gharama za mradi zitawekwa wazi baada ya kupata mkandarasi.
Na Paskali Joseph.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

SERIKALI KUANZA MABORESHO BANDARI YA KIGOMA MWEZI JUNI
Reviewed by By News Reporter
on
9/06/2018 11:44:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: