Loading...

SERIKALI YA UGANDA YAPIGA MARUFUKU TAMASHA LA NYEGE NYEGE KWA KUDUMISHA UKAHABA

Loading...
Serikali ya Uganda imepiga marufuku tamasha la burudani maarufu kama Nyege Nyege iliyopangwa kuanza Septemba 6 hadi Septemba 8.

Kupitia taarifa iliyotolewa na wizara ya maadili, serikali hiyo iliikashifu tamasha hilo kwa kulenga kuendeleza ushoga na ukahaba.

Tamasha hilo ambalo limekuwepo kwa miaka kadha imegeuza madhumuni yake na kuwa ya kuivuruga jamii kimaadili.

"Tumepokea taarifa kuwa kwa miaka miwili iliyopita, hafla hiyo imegeuzwa na kuwa la kuwasajili vijana kwa ushoga na usagaji."

Ni tamasha ambalo huwashirikisha zaidi ya wasanii 200 na ambalo imekuwa ikiwalenga vijana.
Na Geofrey Okechi.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
SERIKALI YA UGANDA YAPIGA MARUFUKU TAMASHA LA NYEGE NYEGE KWA KUDUMISHA UKAHABA SERIKALI YA UGANDA YAPIGA MARUFUKU TAMASHA LA NYEGE NYEGE KWA KUDUMISHA UKAHABA Reviewed by GEOFREY MASHEL on 9/05/2018 09:28:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.