Loading...
Mhe. Ummy A. Mwalimu, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupitia ukurasa wake wa Instagram ametoa amewaomba Watanzania wote kuheshimu utu na ubinadamu wa marehemu hao kwa kuacha kusambaza picha za marehemu katika ajali ya MV Nyerere iliyotokea hivi karibuni.
Aliandika hivi:
"Ndugu zangu Watanzania, ninawaomba sana TUACHE KUSAMBAZA NA KUPOSTI PICHA ZA MAREHEMU WA AJALI YA MV NYERERE. Tuheshimu Utu na Ubinadamu wao. Lakini pia watu wapo kwenye majonzi makubwa ya kupoteza wapendwa wao, hivi kuna faida gani kwa baadhi yetu sisi kuposti picha hizi za marehemu?.
"Tafadhali tuwapunguzie maumivu familia, ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu kwa kuto-posti picha hizi. Muhimu tuendelee kuwaombea familia za marehemu Mwenyezi Mungu awape subra na ustahamilivu ktk kipindi hiki kigumu. Aidha tuwaombee rehema wenzetu waliotangulia mbele ya haki."
Na Geofrey Okechi.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

WAZIRI UMMY MWALIMU AWAOMBA WATANZANIA KUACHA KUSAMBAZA PICHA ZA MAREHEMU AJALI YA MV NYERERE
Reviewed by By News Reporter
on
9/22/2018 02:16:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: