Loading...

WEMA SEPETU: RAHA YA MWANAUME AKUPIGE KIDOGO HATA KOFI PALE UNAPOKOSEA

Loading...
Mwanadada Wema Isaac Sepetu ametoa kali ya aina yake kwamba, katika maisha yake ya mahusiano, anafurahia kuwa na mwanaume ambaye atampa kipigo hasa pale anapokosea.

Mrembo huyo wa Bongo Movie aliyasema hivi karibuni kwenye sherehe ya kuzaliwa ya meneja wake, Neema Ndepanya iliyofanyika nyumbani kwa Wema, Salasala - Dar ambapo aliulizwa katika mahojiano na mtandao wa habari, Je! ni mwanaume wa aina gani anapenda kuwa naye. Alijibu kama ifuatavyo:

"Napenda mwanaume anipe kipigo kidogo siyo mwanaume mnaishi miaka yote, halafu hata kukupiga kofi kidogo hakupigi," alisema Wema huku akiangua kicheko cha kiaina.
Na Baraka Msafiri.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
WEMA SEPETU: RAHA YA MWANAUME AKUPIGE KIDOGO HATA KOFI PALE UNAPOKOSEA WEMA SEPETU: RAHA YA MWANAUME AKUPIGE KIDOGO HATA KOFI PALE UNAPOKOSEA Reviewed by By News Reporter on 9/10/2018 02:23:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.