Loading...
Aliyekuwa kocha wa klabu ya Real Madrid ya Hispania, Zinedine Zidane, ambaye hivi sasa hajapata ajira, ametaja baadhi ya wachezaji muhimu ambao anaweza kuwatumia iwapo atafanikiwa kuwa kocha wa klabu ya Manchester United ya Uingereza.
Zidane ambaye ameipa mafanikio makubwa Madrid, inayojulikana kama Los Blancos, amewataja wachezaji Kroos, Thiago Alcantara, James Rodriguez na Edinson Cavani ambao alisema wako tayari kuungana naye katika klabu ya Manchester iwapo atamrithi kocha wa sasa Jose Mourinho.
"Ni kweli, nitarejea tena kwenye kufundisha, kwani ndiyo kazi ambayo nimeifanya siku zote hadi sasa," alisema Zidane alipohojiwa na kituo cha televisheni cha TVE.
Na Ibrahim Mwela.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

ZIDANE BAADA YA KUTAJA KIKOSI CHAKE MAN UTD, MOURINHO TUMBO JOTO
Reviewed by By News Reporter
on
9/10/2018 03:09:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: