Mwanadada Amber Lulu, ambaye ni mwanamitindo na mwanamuziki ametoa povu kali kwa baadhi ya watu katika mitandao ya kijamii ambao wamekuwa wakimsema kuwa ana sura mbaya na kwamba yeye sio mzuri kama wasichana wengine.
Amber Lulu ameonekana kukerwa na maneno hayo na kuamua kuwajibu kwa kiburi waliokuwa wakimsema hivyo huku akisema kuwa hata kama amekuwa na sura mbaya lakini akifanyiwa urembo basi urembo unakaa.

Loading...
;">
Katika ukurasa wake wa instagram, Amber Lulu aliandika "Raha kujivunia ulichonacho, sura langu mbaya lakini make-up inakaa nalipenda sura langu, unaniita sura mbaya wakati me ndo MAMAAKOO. Rafiki mzuri ni yule anaekufata private na kukwambia makosa yako pasipo kutaka sifa au kutaka kusema pembeni , kusema ukweli hana nia ya kukushauri u kukuelewesha lakini haina shida life goes on na tnaishi nao… "
Amber lulu amekuwa katika migogoro na wasanii wenzake mmoja wapo akiwa ni Nai na kila siku wamekuwa wakitoleana madongo katika mitandao ya kijamii.
Na Frank Kavikule.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

AMBERLULU ATOA POVU BAADA YA KUAMBIWA ANASURA MBAYA
Reviewed by By News Reporter
on
10/18/2018 08:54:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: