Mwanaharakati mashughuli nchini , Mange kimambi ameamua kutoa yaliyokuwa moyoni kwake kwa muda mrefu baada ya kuonekana kuna ukweli kuhusu mahusiano ya mwanadada Wema sepetu na msanii Dogo janja ambae ni mume wa Irene uwoya.
Mange ambae aliamua kuweka sms za majibizano kati yake na Dogo janja akitaka amfichie siri ya kuwa aliwahi kutembea na wema aliamua kuvujisha picha hizo na kuandika kuwa alikuwa akiujua ukweli huo kwa siku nyingi lakini hakutaka kusema kwa sababu Dogo Janja alimuomba asiseme chochote.
Loading...
>
Na Trisha Timoth.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
Mange anasema kuwa sababu kubwa ya yeye kutaka kuongea habari hizo ni baada ya wema kumfuata DM na kuanza kumtukana kitu kilichomkwaza na kuamua kuweka ukweli huo hadharani.
Mange aliandika: "Dogo janja nakupendaga sana na ishu hii ningeenda nayo kaburini, kama nilivykupromiss DM lakini huyo uliefanya nae kanichamba bila kosa alafu hiyo ndio dawa nilionayo kwa sasa…..basi iko story hivi nyumbu alikuwa nyumbani kwa hellen walivuta mibangi yao, bangi zilipomkolea akamkuta chalii wa Arusha nae ana stress za mkewe basi wakaenda room akafiligiswa vilivyo na Dogo janja."
Dogo janja ambae kwa sasa kila mtu amekuwa akimuonea huruma kutokana na kuwa mahusiano na mke wake hayapo , ameanza kuonekana ndie mwenye makosa katika mitandao kutokana na tukio hilo.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
MANGE ALIPUA BOMU LINGINE, NI KATI YA WEMA NA DOGO JANJA
Reviewed by By News Reporter
on
10/18/2018 08:15:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: