Loading...

MR. BENEFICIAL AFUNGUKA KUTOKA EBOTIKE KUNDI LA TIMAMU

Mchekeshaji Mr. Beneficial kutoka kundi la Timamu amefunguka Ebitoke kuondoka kwenye hilo kundi.

Mr. Beneficial akizungumza na Wasafi TV amesema kuondoka kwa Ebitoke hakuathiri kundi hilo kwani kazi zao bado zinaendelea.  
Loading...
a" , sans-serif;">
"Sidhani kama kuna kuumia kwa sababu maisha bado yapo pale pale na yanaendelea na yeye huko alipo aendelee kupambana," amesema Mr. Beneficial.

Utakumbuka October 03, 2018 ndipo Ebitoke alitangaza kuondoka kwenye kundi hilo akiwa ni muingizaji wa tatu kuondoka baada ya Mkali Wenu na Mamaa Ashura.
Na Hashimu Assa.


Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
MR. BENEFICIAL AFUNGUKA KUTOKA EBOTIKE KUNDI LA TIMAMU MR. BENEFICIAL AFUNGUKA KUTOKA EBOTIKE KUNDI LA TIMAMU Reviewed by By News Reporter on 10/18/2018 05:00:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.