Loading...
Watu kadhaa wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya ajali iliyohusisha gari kampuni ya Arusha Express ikitokea Arusha kuelekea Dodoma kuacha njia na kupinduka katika kijiji cha Haraa kata ya Bonga mjini Babati.
Jeshi la polisi mkoani Manyara limefika katika eneo la tukio kuokoa majeruhi kwa kuwapeleka katika vituo vya afya Bonga na hospitali ya mji wa Babati Mrara kwa matibabu.
Endelea kutufatilia ili kujua ni wangapi majeruhi na wangi wamefariki katika ajali hiyo.

Na Julieth Matiku.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com
BASI LIMEPINDUKA NA KUUA KADHAA BABATI
Reviewed by By News Reporter
on
10/08/2018 10:28:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: