Loading...

TAARIFA KWA UMMA: RAIS MAGUFULI ATEULIWA NA SADC KUWA MAKAMU MWENYEKITI

Loading...
Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amepokea taarifa rasmi kutoka kwa Katibu Mtendaji wa SADC kwamba ameteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Jumuia hiyo kwa kipindi cha mwaka mmoja kuanzia Agosti 2018 hadi Agosti 2019.

Pia; Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kukutana na Balozi wa Kenya nchini Dkt. Dan Kazungu ambaye aliwasilisha ujumbe aliotumwa na Rais wa Jamhuri ya watu wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta ambapo ametoa salamu Rasmi za pole kwa Rais Magufuli na kutoa mchango wa rambirambi wa Tsh. Milioni 125.

Taarifa kamili soma hapa chini:
TAARIFA KWA UMMA: RAIS MAGUFULI ATEULIWA NA SADC KUWA MAKAMU MWENYEKITI TAARIFA KWA UMMA: RAIS MAGUFULI ATEULIWA NA SADC KUWA MAKAMU MWENYEKITI Reviewed by By News Reporter on 10/08/2018 10:41:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.