Muigizaji wa filamu za kibongo Chuchu Hansy amefunguka na kuongelea tetesi zilizowahi kukamata headlines kuwa Mzazi mwenzake na mpenzi wake Msanii Vicent Kigosi 'Ray' ni Muathirika wa Ukimwi.
Chuchu amefunguka na kudai kuwa alishawahi kukumbana na maneno mengi ya kejeli ikiwemo kusema kuwa amepewa ujauzito na mwanaume ambaye ni Muathirika wa Ukimwi.
Katika mahojiano na mtandao mmoja wa habari hapa nchini aliyasema haya: "Nilishtushwa sana na maneno hayo ila unajua siku zote mwisho wa ubaya ni aibu kwa sababu toka waseme nina Ukimwi kupitia kwa Ray mpaka leo hii bado wananiona nadunda na wala sina hata dalili yoyote ya kuumwa".

Loading...
tyle="font-family: Verdana, sans-serif;">
Chuchu aliongeza kuwa maneno hayo yaliwachukiza sana ndipo mzazi mwenziye (Ray) alipowaumbua kwa kuweka picha yake (Chuchu) mtandaoni akimnyonyesha mwanaye Jaden kuthibitisha kuwa, wote ni wazima na hapo ndipo wambeya likawashuka.
"Kuna watu wengine mpaka sasa wanaona hata aibu kunitazama, wamesahau kuwa haifai kabisa kumnyooshea mwenzako kidole".
Kwa miaka mingi kulikuwa na tetesi za Ray kuwa mgumba baada ya kutofanikiwa kupata mtoto lakini tetesi hizo zilikuja kuisha baada ya Chuchu kujifungua mtoto wao Jaden.
Na Catherine Kisese.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

CHUCHU HANSY AFUNGUKIA TETESI ZA RAY KUWA NA UKIMWI
Reviewed by By News Reporter
on
10/25/2018 06:37:00 PM
Rating:

Hakuna maoni: