Loading...

MVUA KUBWA YALAZIMISHA NDEGE YA PRECISION KUTUA KILIMANJARO BADALA YA ARUSHA

Rubani wa ndege ya Precision Air amelazimika kutua katika uwanja wa ndege wa Kilimanjaro(KIA) kutokana na hali mbaya ya hewa katika uwanja wa ndege wa Arusha

Loading...
uot; , sans-serif;">Hali ya mvua kubwa na ukungu imesababisha rubani kutoona vizuri hivyo kuchukua hatua hiyo ya dharura

Ndege hiyo ilitoka Dar es Salaam majira ya saa saba na nusu mchana ikielekea Arusha kupitia Zanzibar. Ilitua KIA majira ya saa tisa na dakika 50 Alasiri.
Na Saidi Jamali.


Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
MVUA KUBWA YALAZIMISHA NDEGE YA PRECISION KUTUA KILIMANJARO BADALA YA ARUSHA MVUA KUBWA YALAZIMISHA NDEGE YA PRECISION KUTUA KILIMANJARO BADALA YA ARUSHA Reviewed by By News Reporter on 10/25/2018 06:17:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.